Poa Communication Services Limited

Poa Communication Services Limited


Better Services, Great Achievements

Poa Communication ni mmoja kati ya Supper Dealers ambayo inakuwa kwa harasa sana. Kwetu sisi Poa, mafanikio ya wateja wetu ni jambo ambalo tunajiimarisha nalo kila siku kwa kuja na mbinu endelevu na kusimamia ufanisi katika shughuli zetu.


Tumeanzisha mfumo wa kuwafikia wateja wetu kwa haraka sana katika kuwapatia huduma wanazozihitajia kwa wepesi na haraka sana. Mfumo huu utapatikana muda wote wa kazi, na baadhi ya muda hadi kufikia saa tano za usiku kwa kuwasiliana na huduma yetu kwa wateja (customer Service) kupitia njia za mawasiliano anazopatiwa mteja mara tu baada ya kujiunga.


Huduma hii inapatikana kwa mawakala wote ambao wanatoa huduma ya kutuma au kupokea miamala ya pesa, iwe ni hundi (cash) au digitali (float) kupitia mtandao wa Mixx By Yas (Tigo) na mitandao mengineo inayotoa huduma za fedha Tanzania.


Jiunge na Poa kwa kupata huduma kwa urahisi na haraka sana kwa kubofya kitufe (button) hapo chini.